Hatari!
Mandhari
Hatari! ni filamu ya kimarekani ya vichekesho na kimapenzi iliyoongozwa na Howard Hawks mnamo mwaka 1962 na huonyesha kundi la wawindaji wataalamu ndani ya Afrika. [1]. Filamu hii ilitengenezwa kaskazini mwa Tanganyika( kwa sasa Tanzania) yenye mwonekano na mandhari ya mlima Meru.
Marejeo
- ↑ McCarthy, Todd. Howard Hawks: the grey fox of Hollywood, New York, Grove Press, 1997, pg 572,