Nenda kwa yaliyomo

Katani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:55, 10 Agosti 2018 na Kipala (majadiliano | michango)
Nyuzi za katani ya mkonge.

Katani ni nyuzi za mimea zinayotumiwa kutengeneza kamba, mikeka, mazulia, vitambaa na mengineyo. Jina hili linatumiwa hasa kwa ajili ya nyuzi za mkonge.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.