Nenda kwa yaliyomo

Antelao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:11, 25 Machi 2018 na Baba Tabita (majadiliano | michango) (+picha)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mlima Antelao, upande wa Magharibi

Antelao ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Urefu wake ni mita 3,264 juu ya usawa wa bahari, hivyo na wa pili kati ya milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]