Homo
Homo | ||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Fuu la Homo erectus lililorudishwa katika Makumbusho ya Dunia, Liverpool, Uingereza
| ||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||||
Uenezi wa binadamu nje ya Afrika, kufuatana na ADN ya dutuvuo (mitokondria). Duara za rangi mbalimbali zinamaanisha maelfu ya miaka kabla ya leo.
|
Homo ni jenasi inayojumlisha binadamu na spishi zilizokwisha zinazofanana naye sana.
Jina homo ni la Kilatini, likiwa na maana ya "mtu", na kiasili linahusiana na neno "ardhi".[1]
Historia
Jenasi hiyo inakadiriwa kuanza kuwepo walau miaka 2.3 milioni iliyopita[2][3] kutokana na nusukabila Australopithecina.
Spishi ya kwanza ya jenasi hiyo inawezekana ilikuwa ile ya Homo habilis, anayefikiriwa kutokana na Australopithecus garhi. Lakini mnamo Mei 2010 yalipatikana mabaki ya Homo gautengensis, spishi inayofikiriwa na wengine kuwa ya kale kuliko Homo habilis.[4]
Kutokana na Homo habilis walipatikana Homo ergaster, Homo erectus, Homo georgicus, Homo antecessor, Homo rhodesiensis, Homo heidelbergensis n.k.
Homo neanderthalensis na mtu wa Denisova labda ni nususpishi za Homo sapiens zilizoweza kuzaliana na watu waliotokea Afrika.[5][6][7]
Spishi zote za jenasi Homo zimekoma, isipokuwa Homo sapiens (binadamu).
Picha
-
Homo habilis mwanamume
-
Homo erectus mwanamume
-
Homo ergaster kijana
-
Homo rhodesiensis mwanamume
-
Homo georgicus mwanamke
-
Homo antecessor mwanamke
-
Homo heidelbergensis mwanamume
-
Homo neanderthalensis mwanamume
-
Homo sapiens mwanamume
Tanbihi
- ↑ dhghem The American Heritage Dictionary of the English Language: Fourth Edition. 2000.
- ↑ Stringer, C.B. (1994). "Evolution of early humans". The Cambridge Encyclopedia of Human Evolution. Cambridge: Cambridge University Press. uk. 242. ISBN 0-521-32370-3.
{{cite book}}
: Unknown parameter|editors=
ignored (|editor=
suggested) (help) Also ISBN 0-521-46786-1 (paperback) - ↑ McHenry, H.M (2009). "Human Evolution". Evolution: The First Four Billion Years. Cambridge, Massachusetts: The Belknap Press of Harvard University Press. uk. 265. ISBN 978-0-674-03175-3.
{{cite book}}
: Unknown parameter|editors=
ignored (|editor=
suggested) (help) - ↑ "Toothy Tree-Swinger May Be Earliest Human"
- ↑ Green RE, Krause J, et al. A draft sequence of the Neandertal genome. Science. 2010 7 Mei;328(5979):710-22. PMID 20448178
- ↑ ^ Reich D, Green RE, Kircher M, et al. (Desemba 2010). "Genetic history of an archaic hominin group from Denisova Cave in Siberia". Nature 468 (7327): 1053–60. doi:10.1038/nature09710. PMID 21179161.
- ↑ Reich D ., et al. Denisova admixture and the first modern human dispersals into southeast Asia and Oceania. Am J Hum Genet. 2011 Oct 7;89(4):516-28, PMID 21944045.
Marejeo
- Serre; na wenz. (2004). "No evidence of Neandertal mtDNA contribution to early modern humans". PLoS Biology. 2 (3): 313–7. doi:10.1371/journal.pbio.0020057. PMC 368159. PMID 15024415.
{{cite journal}}
: Explicit use of et al. in:|author=
(help)CS1 maint: unflagged free DOI (link)