Nenda kwa yaliyomo

Ailbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ailbe (pia: Albeus, Alibeus, Elvis, Eilfyw, Eilfw; alifariki 528 hivi) alikuwa askofu katika nchi ya Ireland ambaye, akisafiri huku na huku alihubiri Injili na kuvuta wakazi wengi wa kisiwa hicho kwenye Ukristo kwa wema wake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Septemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70010
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.