Nenda kwa yaliyomo

Kateri Tekakwitha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza hr:Sveta Catherine Tekakwitha
d Minor fix using AWB
Mstari 2: Mstari 2:
'''Kateri Tekakwitha''' (kwa [[lugha]] yake ya Kimohawk jina linatamkwa ˈgaderi degaˈgwita) aliishi tangu mwaka [[1656]] hadi [[17 Aprili]] [[1680]].
'''Kateri Tekakwitha''' (kwa [[lugha]] yake ya Kimohawk jina linatamkwa ˈgaderi degaˈgwita) aliishi tangu mwaka [[1656]] hadi [[17 Aprili]] [[1680]].


Kateri alizaliwa [[Ossernenon]], leo [[Auriesville]], [[New York]], [[Marekani]], akafariki [[Kahnawake]], [[Quebec]] [[Canada]]<ref>[http://www.vatican.va/archive/aas/documents/AAS%2053%20%20-%20ocr.pdf Pierre Cholence, S.J., "Catharinae Tekakwitha, Virginis" (1696)], ''Acta Apostolica Sedis,'' January 30, 1961</ref>.
Kateri alizaliwa [[Ossernenon]], leo [[Auriesville]], [[New York]], [[Marekani]], akafariki [[Kahnawake]], [[Quebec]] [[Canada]]<ref>[http://www.vatican.va/archive/aas/documents/AAS%2053%20%20-%20ocr.pdf Pierre Cholence, S.J., "Catharinae Tekakwitha, Virginis" (1696)], ''Acta Apostolica Sedis,'' 30 Januari 1961</ref>.


Mtoto wa [[familia]] ya wakazi asili wa [[Amerika Kaskazini]], anajulikana hasa kwa [[imani]] na [[maadili]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]], [[dini]] aliyojiunga nayo kwa [[ubatizo|kubatizwa]] na [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]]<ref>{{Cite book|author=Pierre Cholenec, S.J. |url=http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/pc/chapter1.html |title=The Life of Catherine Tekakwitha, First Iroquois Virgin |year=1696 |accessdate=2012-02-18 |archiveurl=http://web.archive.org/web/20110725115715/http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/pc/chapter1.html |archivedate=July 25, 2011}}</ref><ref>{{Cite web|author=Claude Chauchetiere, S.J. |url=http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/cc/chapter1.html |title=The Life of the Good Catherine Tekakwitha, said now Saint Catherine Tekakwitha |year=1695 |accessdate=2012-02-18 |archiveurl=http://web.archive.org/web/20110725120943/http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/cc/chapter1.html |archivedate=July 25, 2011}}</ref> mwaka [[1676]], akaendelea nayo bila kujali upinzani wa ndugu zake.
Mtoto wa [[familia]] ya wakazi asili wa [[Amerika Kaskazini]], anajulikana hasa kwa [[imani]] na [[maadili]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]], [[dini]] aliyojiunga nayo kwa [[ubatizo|kubatizwa]] na [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]]<ref>{{Cite book|author=Pierre Cholenec, S.J. |url=http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/pc/chapter1.html |title=The Life of Catherine Tekakwitha, First Iroquois Virgin |year=1696 |accessdate=2012-02-18 |archiveurl=http://web.archive.org/web/20110725115715/http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/pc/chapter1.html |archivedate=25 Julai 2011}}</ref><ref>{{Cite web|author=Claude Chauchetiere, S.J. |url=http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/cc/chapter1.html |title=The Life of the Good Catherine Tekakwitha, said now Saint Catherine Tekakwitha |year=1695 |accessdate=2012-02-18 |archiveurl=http://web.archive.org/web/20110725120943/http://www.thelifeofkateritekakwitha.net/en/cc/chapter1.html |archivedate=25 Julai 2011}}</ref> mwaka [[1676]], akaendelea nayo bila kujali upinzani wa ndugu zake.


Alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[22 Juni]] [[1980]], halafu [[Papa Benedikto XVI]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[21 Oktoba]] [[2012]]. Ni wa kwanza kutoka ma[[kabila]] ya [[Waindio]].
Alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[22 Juni]] [[1980]], halafu [[Papa Benedikto XVI]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[21 Oktoba]] [[2012]]. Ni wa kwanza kutoka ma[[kabila]] ya [[Waindio]].
Mstari 11: Mstari 11:


==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{Reflist|colwidth=30em}}
{{Marejeo|colwidth=30em}}


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 29: Mstari 29:
*[http://conservation.catholic.org/kateri.htm "Blessed Kateri, Model Ecologist"], Conservation
*[http://conservation.catholic.org/kateri.htm "Blessed Kateri, Model Ecologist"], Conservation
*{{Cite web|title=Blessed Kateri Tekakwitha|url=http://www.newadvent.org/cathen/14471a.htm|work=New Advent [[Catholic Encyclopedia]]}}
*{{Cite web|title=Blessed Kateri Tekakwitha|url=http://www.newadvent.org/cathen/14471a.htm|work=New Advent [[Catholic Encyclopedia]]}}
*[http://www.npr.org/2011/04/22/135121360/a-boy-an-injury-a-recovery-a-miracle?sc=fb&cc=fp Barbara Bradley Hagerty, "A Boy, An Injury, A Recovery, A Miracle?"], NPR, 4 November 2011
*[http://www.npr.org/2011/04/22/135121360/a-boy-an-injury-a-recovery-a-miracle?sc=fb&cc=fp Barbara Bradley Hagerty, "A Boy, An Injury, A Recovery, A Miracle?"], NPR, 4 Novemba 2011
*[http://www2.canada.com/montrealgazette/news/saturdayextra/story.html?id=f53c1dea-728b-48c3-8506-b7ff101504b1&p=2 LORRAINE MALLINDER, "Holy Rivalry Over Kateri"], ''Montreal Gazette,'' 20 March 2010
*[http://www2.canada.com/montrealgazette/news/saturdayextra/story.html?id=f53c1dea-728b-48c3-8506-b7ff101504b1&p=2 LORRAINE MALLINDER, "Holy Rivalry Over Kateri"], ''Montreal Gazette,'' 20 Machi 2010
*[http://threerivershms.com/LilyDeath.htm "Sketch of Life of Indian Maid, Kateri Tekakwitha"] from April 23 1915 issue of the ''Recorder-Democrat'' a semiweekly publication, Amsterdam, NY
*[http://threerivershms.com/LilyDeath.htm "Sketch of Life of Indian Maid, Kateri Tekakwitha"] from 23 Aprili 1915 issue of the ''Recorder-Democrat'' a semiweekly publication, Amsterdam, NY
*[http://threerivershms.com/Kateri.htm Account of location of Ossernon birthplace] written by Jesuit Fr. Loyzance (the original purchaser of the land at Auriesville) from ''St. Johnsville Enterprise and News'' November 28, 1934
*[http://threerivershms.com/Kateri.htm Account of location of Ossernon birthplace] written by Jesuit Fr. Loyzance (the original purchaser of the land at Auriesville) from ''St. Johnsville Enterprise and News'' 28 Novemba 1934
{{Reflist|group=Note}}
{{Marejeo|group=Note}}
<references group="Note"/>
<references group="Note"/>



Pitio la 19:07, 13 Februari 2013

Picha yake ya zamani kuliko zote, mwaka 1690 hivi.

Kateri Tekakwitha (kwa lugha yake ya Kimohawk jina linatamkwa ˈgaderi degaˈgwita) aliishi tangu mwaka 1656 hadi 17 Aprili 1680.

Kateri alizaliwa Ossernenon, leo Auriesville, New York, Marekani, akafariki Kahnawake, Quebec Canada[1].

Mtoto wa familia ya wakazi asili wa Amerika Kaskazini, anajulikana hasa kwa imani na maadili yake ya Kikristo, dini aliyojiunga nayo kwa kubatizwa na padri wa Kanisa Katoliki[2][3] mwaka 1676, akaendelea nayo bila kujali upinzani wa ndugu zake.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 22 Juni 1980, halafu Papa Benedikto XVI akamtangaza mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012. Ni wa kwanza kutoka makabila ya Waindio.

Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira, hasa tarehe ya kifo chake.

Tanbihi

  1. Pierre Cholence, S.J., "Catharinae Tekakwitha, Virginis" (1696), Acta Apostolica Sedis, 30 Januari 1961
  2. Pierre Cholenec, S.J. (1696). The Life of Catherine Tekakwitha, First Iroquois Virgin. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
  3. Claude Chauchetiere, S.J. (1695). "The Life of the Good Catherine Tekakwitha, said now Saint Catherine Tekakwitha". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.

Marejeo

  • Bechard, Henri. "Tekakwitha". Dictionary of Canadian Biography (Toronto: University of Toronto Press, 1966), vol. 1.
  • Sargent, Daniel. Catherine Tekakwitha. New York and Toronto: Longmans, Green and Co., 1936.
  • Shoemaker, Nancy. "Kateri Tekakwitha's Tortuous Path to Sainthood," in Nancy Shoemaker, ed. Negotiators of Change: Historical Perspectives on Native American Women (New York: Routledge, 1995), p. 49–71.
  • Steckley, John. Beyond their Years: Five Native Women's Stories, Canadian Scholars Press 1999 ISBN 978-1551301501

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.