Nenda kwa yaliyomo

Kitabu cha Amosi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Ámosz könyve
d roboti Nyongeza: qu:Amospa qillqasqan
Mstari 46: Mstari 46:
[[pl:Księga Amosa]]
[[pl:Księga Amosa]]
[[pt:Livro de Amós]]
[[pt:Livro de Amós]]
[[qu:Amospa qillqasqan]]
[[ru:Книга пророка Амоса]]
[[ru:Книга пророка Амоса]]
[[sh:Amos (knjiga)]]
[[sh:Amos (knjiga)]]

Pitio la 02:05, 30 Julai 2010

Kitabu cha Amosi ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh yaani Biblia ya Kiebrania), na kwa hiyo pia ya Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Nabii mwenyewe

Tofauti na manabii Eliya na Elisha waliomtangulia wasiache maandishi, nabii Amos (786-746 hivi K.K.) ana kitabu chenye mafundisho yake aliyoyatoa katika ufalme wa Israeli (Kaskazini) ingawa alikuwa mtu wa Kusini.

Hakutarajia kutumwa na Mungu, ila ilimbidi akubali kutabiri kwa niaba yake (7:10-17), hasa kuwa Israeli itaangamizwa na kutekwa na Waashuru utumwani kwa makosa dhidi ya imani na ya haki pamoja na anasa (5-6).

Waisraeli wakakataa maneno yake hata wakatendwa alivyowatabiria (2Fal 17:5-23).

Viungo vya Nje

Kitabu cha Amosi katika Biblia (Union Version)

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.