Nenda kwa yaliyomo

Hellen Kijo Bisimba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kigezo
Kuongeza kiungo
Mstari 5: Mstari 5:
|maelezo_ya_picha =
|maelezo_ya_picha =
|jina la kuzaliwa =
|jina la kuzaliwa =
|alizaliwa = 10 Oktoba 1954
|alizaliwa = [[10 Oktoba]] [[1954]]
|alikufa =
|alikufa =
|nchi = {{flag|Tanzania}}
|nchi = {{flag|Tanzania}}

Pitio la 08:02, 3 Septemba 2023


Helen Kijo-Bisimba
Alizaliwa 10 Oktoba 1954
Nchi Bendera ya Tanzania Tanzania
Kazi yake Alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na haki za binadamu[LHRC] Tanzania.
Ndoa Ni mjane baada ya mume wake Emil Clemence Bisimba kufariki mwaka 1994
Wazazi Ni binti wa Bwana William Manase Kijo na bi Janeth Kaunara Mcharo [wote marehemu]
Watoto wanne: wa kike mmoja na wavulana watatu

Hellen Kijo Bisimba (alizaliwa mkoani Kilimanjaro, 10 Oktoba 1954) alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Center - LHRC) kuanzia 1/7/1996 hadi 30/6/2018.

Elimu yake

Alisoma Shule ya wasichana Weruweru Kilimanjaro Sekondari ya Awali 'o' Level na kumaliza Sekondari ya juu 'A' level Korogwe High School Tanga. Ana watoto wanne.

Dkt. Helen Kijo Bisimba amesoma shahada ya uzamivu ya sheria katika chuo kikuu (daktari wa falsafa) Warwick Uingereza 2008 hadi 2011. Mnamo waka 2008 Dkt. Helen alipata tuzo akitambuliwa na ubalozi wa marekani nchini Tanzania kama ni mwanamke jasiri wa kwanza nchini Tanzania kwa kupigania haki za binadamu baada ya kusimama na kutoa tamko dhidi ya serikali juu ya mauaji yaliyofanyika visiwani Zanzibar kwa waandamanaji yaliyotokea mwaka 2001.[1] [2]

Kazi

Amefanya kazi katika shirikia la LHRC kwa muda wa miaka 22 akiwa mkurugenzi mtendaji katika shirika hilo.

Dhamira yake ya kupigania na kuhamasisha haki za binadamu ilianza miaka ya sabini akiwa bado mwanafunzi wa sekondari kidato cha tano na sita mkoa wa Tanga, hii ni mara baada ya kugoma kuandika barua ya maelezo kwa mkuu wa shule iliyopelekea kusimamishwa masomo yake kwa muda.

Kitendo hiki kilimfanya awe mstari wa mbele kupigania haki za binadamu kwa miaka takribani arobaini sasa.

Dkt.Helen Kijo Bisimba amestaafu kazi tangu Julai 2018.

Tanbihi

  1. https://allafrica.com/stories/201208090246.html
  2. Tanzania Standard Newspapers Ltd. "Helen-Kijo Bisimba: A strong selfless human rights activist". www.dailynews.co.tz (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-04. Iliwekwa mnamo 2020-02-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hellen Kijo Bisimba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.