Nenda kwa yaliyomo

Kipembezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
kiwambo >>skrini
 
(marekebisho 4 ya kati na watumizi wengine 3 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Computer monitor screen image simulated.jpg|thumb|Vipembezo vya kutolea vinaitwa kiwambo na kipaza sauti.]]
[[Picha:Computer monitor screen image simulated.jpg|thumb|Vipembezo vya kutolea vinaitwa kiwambo na kipaza sauti.]]
[[Picha:Cherry keyboard 105 keys.jpg|thumb|Kipembezo cha kuingia kinaitwa baobonye]]
[[Picha:Cherry keyboard 105 keys.jpg|thumb|Kipembezo cha kuingia kinaitwa baobonye]]
Katika [[utarakilishi]], '''kipembezo''' (pia: '''pembezo'''<ref>{{Cite web|title=ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY (INSTITUTE OF KISWAHILI RESEARCH, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.)|url=http://kamusi.kiswahilipedia.org/eng-swa/o.html|work=kamusi.kiswahilipedia.org|accessdate=2020-11-24}}</ref>; kwa [[kiingereza]]: peripheral) ni [[kitumi]] chote cha [[tarakilishi]] ambacho kinatumika ili kuingia na kuondoa taarifa kutoka tarakilishi. Kuna aina kadhaa ya vipembezo.
Katika [[utarakilishi]], '''kipembezo''' (pia: '''pembezo'''<ref>{{Cite web|title=ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY (INSTITUTE OF KISWAHILI RESEARCH, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.)|url=http://kamusi.kiswahilipedia.org/eng-swa/o.html|work=kamusi.kiswahilipedia.org|accessdate=2020-11-24|archivedate=2021-03-07|archiveurl=https://web.archive.org/web/20210307093228/http://kamusi.kiswahilipedia.org/eng-swa/o.html}}</ref>; kwa [[Kiingereza]]: ''peripheral'') ni [[kitumi]] chote cha [[tarakilishi]] ambacho kinatumika ili kuingia na kuondoa taarifa kutoka tarakilishi.


Kuna aina kadhaa za vipembezo.
Kitumi cha kingia ambacho kinaituma [[data]] tarakilishi, kama [[kipanya]], [[baobonye]], [[kamera pembuzi]] au [[kitambazo]].
# Kitumi cha kuingia ambacho kinatuma [[data]] tarakilishi, kama [[kipanya]], [[baobonye]], [[kamera pembuzi]] au [[kitambazo]].

Kitumi cha kitolea ambacho kinatoa [[kitokacho]] cha tarakilishi, kama [[kichapishi]], [[kiwambi|kiwambo]] au [[kipaza sauti]].
# Kitumi cha kutolea ambacho kinatoa [[Kiingizio/kitoleo|kitoleo]] cha tarakilishi, kama [[kichapishi]], [[skrini]] au [[kipaza sauti]].


==Tanbihi==
==Tanbihi==
Mstari 11: Mstari 11:


== Marejeo ==
== Marejeo ==

* Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
* Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
{{tech-stub}}
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Intaneti]]
[[Jamii:Intaneti]]

Toleo la sasa la 19:56, 30 Machi 2023

Vipembezo vya kutolea vinaitwa kiwambo na kipaza sauti.
Kipembezo cha kuingia kinaitwa baobonye

Katika utarakilishi, kipembezo (pia: pembezo[1]; kwa Kiingereza: peripheral) ni kitumi chote cha tarakilishi ambacho kinatumika ili kuingia na kuondoa taarifa kutoka tarakilishi.

Kuna aina kadhaa za vipembezo.

  1. Kitumi cha kuingia ambacho kinatuma data tarakilishi, kama kipanya, baobonye, kamera pembuzi au kitambazo.
  2. Kitumi cha kutolea ambacho kinatoa kitoleo cha tarakilishi, kama kichapishi, skrini au kipaza sauti.
  1. "ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY (INSTITUTE OF KISWAHILI RESEARCH, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.)". kamusi.kiswahilipedia.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-07. Iliwekwa mnamo 2020-11-24.
  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.