Nenda kwa yaliyomo

Kipaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kipaji''' ni sehemu ya uwezo wa kufanya kitu fulanikwa ngazi fulani. KIpaji kinaweza kuwa cha kimwili au kiakili. Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufa...'
 
d #WPWP #WPWPARK
 
(marekebisho 5 ya kati na watumizi wengine 3 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Argentine - Portugal - Cristiano Ronaldo.jpg|thumb|Cristiano Ronaldo ni mreno mwenye kipaji kikubwa cha mpira wa miguu]]
'''Kipaji''' ni sehemu ya [[uwezo]] wa kufanya kitu fulanikwa ngazi fulani. KIpaji kinaweza kuwa cha kimwili au kiakili. Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kazi fulani kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa. Uwezo, [[ujuzi]] ulioendelezwa,[[maarifa]] au uhodari na mtazamo alionao mtu. Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha [[ujuzi]] na [[mafanikio]], ambayo huwakilisha [[maarifa]] au [[uwezo]] unaopatikana kupitia kujifunza.
[[Picha:Usain Bolt Olympics Celebration.jpg|thumb|Usain Bolt ni Mjamaika mwenye kipaji cha riadha]]
'''Kipaji''' (kutoka [[kitenzi]] "ku-pa"; kwa kuwa [[watu]] wa [[dini]] huamini kipaji mtu hupewa na [[Mungu]] katika [[uumbaji]]) ni sehemu ya [[uwezo]] wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha [[Mwili|kimwili]] au cha [[Akili|kiakili]].

Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya [[kazi]] fulani lakini kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa. Kipaji hakirithishwi wala huwezi kujifunza sehemu yoyote.

Ni uwezo, [[ujuzi]] ulioendelezwa, [[maarifa]] au [[uhodari]] na mtazamo alionao mtu.

Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha [[ujuzi]] na [[mafanikio]], ambayo huwakilisha [[maarifa]] au [[uwezo]] unaopatikana kupitia kujifunza.

Kipaji huweza kuishi ndani ya mtu bila kupotea. Kadiri kinavyozidi kutumiwa ndivyo huzidi kuimarika.

Mfano wa vipaji ni: kuchora, kutambua na kuvumbua vitu kwa haraka.
{{mbegu}}

[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Saikolojia]]

Toleo la sasa la 17:17, 5 Julai 2021

Cristiano Ronaldo ni mreno mwenye kipaji kikubwa cha mpira wa miguu
Usain Bolt ni Mjamaika mwenye kipaji cha riadha

Kipaji (kutoka kitenzi "ku-pa"; kwa kuwa watu wa dini huamini kipaji mtu hupewa na Mungu katika uumbaji) ni sehemu ya uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha kimwili au cha kiakili.

Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kazi fulani lakini kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa. Kipaji hakirithishwi wala huwezi kujifunza sehemu yoyote.

Ni uwezo, ujuzi ulioendelezwa, maarifa au uhodari na mtazamo alionao mtu.

Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha ujuzi na mafanikio, ambayo huwakilisha maarifa au uwezo unaopatikana kupitia kujifunza.

Kipaji huweza kuishi ndani ya mtu bila kupotea. Kadiri kinavyozidi kutumiwa ndivyo huzidi kuimarika.

Mfano wa vipaji ni: kuchora, kutambua na kuvumbua vitu kwa haraka.