Yukon
Yukon ni eneo kubwa la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imepakana na Marekani (Alaska) upande wa kaskazini-magharibi, Northwest Territories upande wa mashariki na British Kolumbia upande wa kusini.
Yukon | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Whitehorse | ||
Eneo | |||
- Jumla | 482,443 km² | ||
Tovuti: http://www.gov.yk.ca/ |
Ina pwani fupi na Bahari ya Aktika. Sehemu kubwa ya eneo lake ni misitu tu.
Yukon lina wakazi wapatao 33,442 (2009) katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 482,443.
Whitehorse ni mji mkuu na mji mkubwa.
Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yukon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |