Waya
Waya (wingi: nyaya; kutoka Kiingereza "wire") ni uzi wa chuma. Waya hutumika hasa katika kusafirishia umeme.
Rangi tofautitofauti za waya katika baadhi ya nchi, kwa mfano nchini Marekani, kijani au wazi ni waya (udongo) wa ardhi, nyeupe ni waya wa neutral, na nyeusi, rangi ya bluu, nyekundu, kahawia, njano, na machungwa ni waya wa moto (hai).
Aina za waya
hariri- Waya wa kijani au wazi ni waya wa ardhi.
- Waya nyeupe ni neutral.
- Waya mweusi, mwekundu, na kahawia ni waya zenye moto (hai).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |