Wasalesiani wa Don Bosko (jina rasmi: Society of St. Francis de Sales) ni shirika la watawa wanaume lililoanzishwa na John Bosco ndani ya Kanisa Katoliki la Kilatini katika karne ya 19 kwa lengo la kulea vijana fukara[1].

Mwaka 2014 walikuwa 15,298 duniani kote, wakihesabika wanovisi pia.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasalesiani kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.