Mkoa wa Vizcaya
(Elekezwa kutoka Vizcaya)
Vizcaya au (Kieuskara) Bizkaia ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.
Mkoa wa Vizcaya | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Nchi ya Kieuskara | ||
Mji mkuu | Bilbao | ||
Eneo | |||
- Jumla | 2,217 km² | ||
Tovuti: http://www.bizkaia.net/ |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,152,658.
Mji wake mkuu ni Bilbao.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Vizcaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |