Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(Elekezwa kutoka Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere)
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DAR, ICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere English: Julius Nyerere International Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: DAR – ICAO: HTDA – WMO: 63894 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Dar es Salaam, Tanzania | ||
Kitovu cha | |||
Mwinuko Juu ya UB |
182 ft / 55 m | ||
Anwani ya kijiografia | 06°52′41″S 39°12′10″E / 6.87806°S 39.20278°E | ||
Tovuti | |||
Ramani | |||
Mahali pa uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
05/23 | 3,000 | 9 843 | Lami |
14/32 | 1,000 | 3 281 | Lami |
Takwimu (2017) | |||
Idadi ya abiria | 2,385,456 | ||
Harakati za ndege | 75,240 | ||
Tani za mizigo | 22,014 |
Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa nchi.
Abiria 2,385,456 walipita humo mwaka 2017.
Kuna barabara kubwa kwa ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.
Tarehe 1 Agosti 2019 ilifunguliwa terminal ya 3 kwa ajili ya safari za kimataifa[1].
Tanbihi
hariri- ↑ "Dar Es Salaam Airport Inaugurate New Terminal 3". TanzaniaInvest (kwa American English). 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-01-06.
- ↑ https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
- ↑ https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
- ↑ 4.0 4.1 "Air Tanzania resumes Harare / Lusaka service from late-Feb 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 2019-01-11.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Liu, Jim. "Air Tanzania expands domestic network offering from April 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-07. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Air Zimbabwe (UM) #438 ✈ FlightAware". Flightaware.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2017, UBM (UK) Ltd. "Oman Air S17 changes as of 09MAR17; Singapore suspensions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017.
{{cite web}}
:|last=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "PrecisionAir - Home". Precisionairtz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Istanbul New Airport Transition Delayed Until April 5, 2019 (At The Earliest)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)