Sevilla
(Elekezwa kutoka Seville)
Sevilla ni mji mkubwa kando la mto Guadalquivir katika kusini ya Hispania na mji mkuu wa jimbo la kujitawala la Andalusia mwenye wakazi 700,000.
Historia
haririMji ulianzishwa zamani za Wafinisia ukaendelea kukaliwa na kutawaliwa na Waroma wa Kale, Wavandali halafu na Wavisigothi na tangu 711 na Waarabu Waislamu. 1248 ulivamiwa na wafalme wa Kastilia na kubaki upande wa Hispania ya kikristo.
Majengo mengi mazuri yanatunza kumbukumbu ya historia hii. Boma la Alcazar lilijengwa na mafundi waislamu kwa niaba ya wafalme wakatoliki. Sevilla ilikuwa na ofisi kuu ya utawala kwa koloni za Hispania katika Amerika.
Tovuti za Nje
hariri- Sevilla Guide Archived 6 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- Sevilla Airport
- City councils Archived 12 Aprili 2011 at the Wayback Machine. (in Kihispania only)
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sevilla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |