Mto Msesule ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia Ruaha Mkuu na mto Rufiji.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri