Mbuga
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Kwa matumizi mengine za jina hili angalia Mbugani (maana)
Mbuga ni jina la eneo ambapo kuna mazingira ya uoto wa manyasi au eneo lililopo karibu na mbuga kwa maana ya hifadhi ya wanyama au mazingira asilia kama mbuga wa wanyama.
Kwa hiyo "Mbuga" inapatika kama jina la kata kwa mfano:
- kata ya Mbuga (Ulanga) katika mkoa wa Morogoro (Tanzania)
- kata ya Mbuga (Mpwapwa) katika mkoa wa Dodoma (Tanzania)