Maturini (pia: Maturinus, Mathurin, Matilin, Matelin, Mathelin, Maturin, Maturino[1]; Larchant, leo kaskazini mwa Ufaransa, karne ya 3Roma, Italia, 300 hivi), alikuwa padri maarufu kwa kufukuza pepo[2].

Sanamu yake huko Tessy-sur-Vire.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.