Kihausa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia inayozungumzwa na Wahausa katika nchi nyingi za Afrika Magharibi, hasa Nigeria (wasemaji zaidi ya milioni 18 mwaka wa 1991), Niger (zaidi ya milioni 5 mwaka wa 2006), Benin (800,000 mwaka wa 2006), Sudan (80,000 mwaka wa 2007) na Kamerun (23,500 mwaka wa 1982). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihausa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihausa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.