Fadhy Mtanga

Mwandishi wa Kitanzania.

Fadhili Frank Mtanga (anafahamika kwa jina lake la kiuandishi kama Fadhy Mtanga[1]; alizaliwa 14 Novemba 1981) ni mwandishi mbunifu[2], mwanablogu, mpiga picha, msanifu michoro na mwanajamii kutoka nchini Tanzania.

Alitoa riwaya yake ya kwanza ya Kiswahili mnamo mwaka 2011 na ilikwenda kwa jina la Kizungumkuti — halafu ikafuatiwa na Huba[3] mnamo mwaka wa 2014 na Fungate[4] iliyotoka mwaka 2017.

Mwaka wa 2018, alichapisha kitabu chake cha kwanza cha mashairi kilichoitwa Hisia[5].

  • Kizungumkuti (2011)
  • Hisia (2018)

Marejeo

hariri
  1. Mtanga, Fadhy. "Fadhy Mtanga". Mwananchi Mimi. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Fadhy Mtanga - poems -". dokumen.tips (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-20. Iliwekwa mnamo 2018-12-20.
  3. Huba. "Huba". mwalimuwakiswahili.com.
  4. "Press Reader", 26 May 2017. 
  5. Mtanga, Fadhy (2018-05-30). "Ninawaleteeni kitabu cha HISIA". Fadhy Mtanga. Iliwekwa mnamo 2018-12-20.
  6. Mtanga, Fadhy (2014). Huba. Jukwaa Huru Media.
  7. "Princeton University Library". Princeton University Library. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2018. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Mtanga, Fadhy (2017). Fungate. UWARIDI. ISBN 9789987950843.