Amandi wa Bordeaux
Amandi wa Bordeaux (alizaliwa Besancon, Ufaransa, akafariki huko 431 au 432) alikuwa askofu wa 13 wa mji huo kuanzia mwaka 403 hadi 410 hivi, tena kuanzia 420 hivi kifo chake[1][2].
Alijitahidi kuinjilisha jimbo lake akabatiza Paulino wa Nola ambaye aliandika mara nyingi juu yake kwa sifa.
Alipinga uzushi wa mmonaki Prisiliani na wa Gnosi.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |