Allan Nevins
Allan Nevins (20 Mei 1890 – 5 Machi 1971) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani.
Allan Nevins | |
Faili:Allannevins.jpg | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Ndoa | Mary Fleming Richardson |
Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili, kwanza mwaka wa 1933 kwa wasifu yake ya Grover Cleveland, tena mwaka 1937 kwa wasifu yake ya Hamilton Fish.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allan Nevins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |