18 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 96 - Nerva ametangazwa kuwa Kaisari wa Roma (hadi 98)
- 1502 - Kristoforo Columbus afika Costa Rica kwenye safari yake ya mwisho.
- 1961 - Dag Hammarskjöld (Katibu Mkuu wa UM) anakufa katika ajali ya ndege nchini Kongo-Kinshasa akijaribu kuleta mapatano ya amani kwa jimbo la Katanga
Waliozaliwa
- 53 - Traian, Kaisari wa Roma (98-117)
- 1765 - Papa Gregori XVI
- 1907 - Edwin McMillan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951)
Waliofariki
- 1967 - John Douglas Cockcroft (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)