Winnie Mpanju-Shumbusho

kiongozi wa Afya ya umma
Pitio kulingana na tarehe 10:40, 1 Julai 2020 na Grace Macha (majadiliano | michango) (Maneno yalikuwa yamebanana)

Dr.Winnie Mpanju-Shumbusho Ni Mtanzania na ni kiongozi wa Afya kwa Umma, ambaye mpaka mnamo tarehe 31 desemba 2015 alifanya kazi kama Mkurugenzi msaidizi kitengo cha VVU/UKIMWI.TIBII, MALARIA na Magonjwa mengine ya kitropiko huko Geneva Uswizi.Kuanzia mwaka 2016 hadi 2019 alishawahi kuwa Mwenyekiti wa bodi ya kutokomeza ugonjwa wa malaria (RBM Pertnership to End Malara)[1]. Kabla ya kujiunga na shirika la afya Duniani mwaka 1999 (WHO), Dr. Mpanju-Shumbusho alikua Mkurugenzi mkuu wa Jumiya ya Afya ya Afrika ya Mashariki kat na kusini i (ref) ambayo zamani ilijulikana kama jumuiya ya Afya ya kanda ya Afrika mashariki, Afrika ya kati na afrika ya kusini (ref). Mpanju-Shumbusho ni mwanzirishi, mjumbe wa bodi na anajitolea katika shirika la kilimo lisilo kuwa la kifaida la AHEAD Inc. ref ambalo liligunduliwa mnamo mwaka 1981 kwa lengo la kuwaa msaada, msaada wa watu kwa watu, usaidizi kwa jamii maalumu za ndani ya afrika na ndani ya miji ya ndani ya Marekani (USA). Na pia ni mwanzirishi wa chama cha Madaktari wanawake Tanzania na alifanya kazi kama mweka hazina na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho cha madaktari wanawake Tanzania. Mnamo mwaka 2019, Alitunukiwa tuzo ya heshima ya Multsector(ref). Dr. Mpanju-Shumbusho ameolewa na ana watoto wawili.

  1. Zarocostas, John (Aprili 2018). "Winnie Mpanju-Shumbusho: leader in the fight against malaria". The Lancet. 391 (10130): 1566. doi:10.1016/S0140-6736(18)30894-8.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)