Mahdi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nimesahihisha neno wnegi kuwa wengi.
 
Mstari 5:
Katika [[Qurani]] hakuna maelezo ya wazi juu ya kuja kwa Mahdi lakini anatajwa katika [[ahadith]] mbalimbali; isipokuwa [[Sahih al-Bukhari]] haina habari zake. Katika imani ya Waislamu wengi (hasa [[Washia]] lakini pia katika mielekeo kadhaa ya [[Wasunni]]) mahdi ina nafasi muhimu.
 
Mahdi anategemewa kuwa atawaongoza [[binadamu]] kumwamini [[Mungu]] na kumshinda [[Dajal]] anayetazamiwa kuwa mwovu kati ya wanadamu. Mahdi ataongozwa moja kwa moja na Allah. Waislamu wnegiwengi wanaona ya kwamba ataongoza jitihada kwa kutumia nguvu ya silaha lakini kundi la [[Ahmadiyya]] wanasisitiza kuwa [[jihad]] yake itakuwa ya kiroho tu.
 
Katika imani ya Washia mahdi anajulikana tayari jina lake: ni [[Muhammad ibn Hasan al-Mahdi]] aliyezaliwa [[tarehe]] [[29 Julai]] [[869]] akawa [[imamu]] wa 12 wa Washia, lakini tangu mwaka [[874]] alifichwa na Allah mbele ya maadui zake na tangu wakati ule anaishi mafichoni (ghaiyba).