Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nilirekebisha kosa la ngeli. |
→Mielekeo mipya: Rekebisha tahajia |
||
Mstari 64:
* injini ya umeme
Kwa jumla magari ya umeme bado hutegemea mbinu za kubeba nishati njiani kwa beteri. Siku hizi ni hasa injini za umeme zinazopokea jitihada nyingi. Tatizo hadi leo ni uzito, uwezo na gharama za beteri. Hata kama
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
* Daimler-Benz na makampuni
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteri.
|