Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1420 (translate me) |
d rekebisha viungo vibaya (dead links) |
||
Mstari 5:
Kuna aina nyingi za motokaa; magari madogo hubeba abiria tu na gari dogo la kawaida hubeba dereva pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8.
Mengine ya kubeba abiria ni
[[Picha:Chassis with suspension and exhaust system.jpg|thumb||Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi]].
== Muundo ==
Motokaa huwa na [[injini]] (mota) inayosukuma [[magurudumu]] kupitia
Dereva hutumia mitambo ya kutawala motokaa ambayo ni hasa:
Mstari 24:
== Historia ya motokaa ==
Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano [[farasi]], [[punda]] au
=== Injini za mvuke ===
Mstari 30:
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi herufu baya ya
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita ]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.
Baadaye magari ya petroli yalisogea mbele kwa sababu yaliweza kutembea mbali kwa kujaza mafuta kuliko gari la umeme kwa beteri yake tena beteri ilichua masaa hadi kujazwa upya wakati mafuta hujazwa mara moja.
Mstari 39:
=== Injini za mwako ndani (petroli na diseli) ===
[[Picha:1885Benz.jpg|thumb|Motokaa ya kwanza ya Benz ya 1885]]
Katika karne ya 19 wahandisi mbalimbali walianza kutengeneza injini za mwako wa ndani zilizochoma gesi au petroli ndani yake. Injini ya kwanza iliyofaulu kuanzia [[1876]] na kutengenezwa kwa wingi ilikuwa ni ile ya Mjerumani
Maendeleo ya motokaa zilizotumia injini mwako ndani yalikuwa haraka. Mwanzoni yalikuwa na matatizo mengi hasa uhaba wa petroli. Benz alinunua mafuta kwa gari lake kwenye duka la dawa.
1892 mhandisi Mjerumani
[[Picha:1926 Ford Model T Tudor Sedan FLA915.jpg|thumb||Gari la Ford T ya 1926]]
== Ushindi wa motokaa ==
Mstari 56:
== Mielekeo mipya ==
Tangu miaka ya 1970 kuzidi kwa motokaa kulileta pia matizo mapya:
* machafuko kwa mazingira kwa kelele na hewa chafu ya eksozi. Machafuko haya yalionekana kusababisha magonjwa kama kansa pia kuleta uharibifu kwa machafuko kwa hewa. Matokeo yake yalikuwa
* kupanda kwa bei ya petroli tangu
* hofu ya kuishi kwa mafuta ya petroli baada ya
Jibu la wahandisi lilikuwa majaribio ya kuboresha injini zisizotumia mafuta. Ni hasa teknolojia mbili zilizoendelea kushughulikiwa:
Mstari 64:
* injini ya umeme
Kwa jumla magari ya umeme bado hutegemea mbinu za kubeba nishati njiani kwa beteri. Siku hizi ni hasa injini za umeme zinazopokea jitihada nyingi. Tatizo hadi leo ni uzito, uwezo na gharama za
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
*
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteri.
|