Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Link suggestions feature: 3 links added.
 
(marekebisho 8 ya kati na watumizi wengine 7 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 19:
Mitambo ya lazima kwa usalama wa gari ni taa zake za nje mbele na nyuma, kiashirio au indiketa ya kuonyesha nia ya kubadilisha mwelekeo, kifuto au waipa inayosafisha kioo cha mbele wakati wa mvua.
 
Magari ya kisasa huwa na mitambo mengi mengine kama redio, vyombo vya muziki, kiyoyozi, siku hizi pia kompyuta ndogo ya kusimamisha injini au kuonyesha [[ramani]] ya njia pamoja na kutoa maelezo kuhusu njia kwa dereva kwa kutumia sauti iliyorekodiwa.
 
Injini kwa kawaida hupata nguvu yake kwa kuchoma [[petroli]], [[diseli]] au gesi. Motokaa za kwanza zilitumia pia nguvu ya mvuke. Motokaa za kisasa kabisa zinatumia pia injini ya umeme.
 
== Historia ya motokaa ==
Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano [[farasi]], [[punda]] au maksai. Waroma wa kale walifanya majaribio na magari yaliyosukumwa na [[Utumwa|watumwa]]. Maendeleo ya uhandisi yalisababisha majaribio ya kutengeneza magari yaliyosogezwa kwa nguvu ya upepo yakitumia [[tanga]] kuanzia mwaka 1600 huko [[Uholanzi]].
 
=== Injini za mvuke ===
Baada ya kugunduliwa kwa [[injini ya mvuke]] nguvu yake ilitumiwa pia kwa [[Chombo cha usafiri|vyombo vya usafiri]]. Kutokana na uzito wa injini pamoja na magari yaliyoweza kuvumilia uzito mkubwa wa injini pamoja na maji na kuni iliyohitajika kuchemsha maji vyombo hivi havikufaa barabara za kawaida vikatumia njia ya [[reli]] za chuma. Nusu ya pili ya karne ya 19 iliona maendeleao ya kutengenezwa kwa motokaa za mvuke madogo yaliyotembea barabara za kawaida katika nchi za Ulaya na Marekani.
 
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi harufu baya ya eksozi. Lakini magari haya yalikuwa na tatizo ya kwamba yalitegemea kupata nishati kwa njia ya beteri nzito zilizochukua muda mrefu kuchajiwa. Hata hivyo hadi mwanzo wa karne ya 20 magari ya umeme yalikuwa mengi katika miji mikubwa.
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.
 
Mstari 48:
 
Mwaka 1892 mhandisi Mjerumani Rudolf Diesel alitunga injini inayochoma mafuta kwa kuikandamiza vikali na kutumia joto la hewa ndani ya injini kutokana na mshtuko wa kukandamizwa. Mashine hizi zina uwezo kutumia aina mbalimbali za mafuta na ile ya kawaida ilikuwa nzito kuliko petroli ikaitwa "diseli". Injini za diseli zamani hazikupendwa kwa magari madogo kutokana na sauti kubwa zaidi ya injini lakini zikawa kawaida kwa malori, mabasi na injini za meli kwa sababu zinatumia mafuta kidogo kuliko injini za petroli.
[[Picha:1926 Ford Model T Tudor Sedan FLA915.jpg|thumb||Gari la Ford T ya 1926]]
== Ushindi wa motokaa ==
Mwanzoni motokaa zilikuwa ghali sana zikanunuliwa na matajiri pekee. Mwaka 1914 mhandisi wa [[Marikani]] [[Henry Ford]] alianza kutengeneza gari lake la "Ford Model T" kiwandani akitumia mbinu mpya; aligawa matengenezo ya gari kwa hatua mbalimbali zilizotekelezwa na wafanyakazi walioshughulika hatua moja-moja tu. Mbinu huu ulisababisha utekelezaji wa haraka kwa sababu kila mfanyakazi alikuwa na shughuli chache zu alizojua kwa undani kabisa akiwa na vifaa na vipuri vyote pale alipofanya kazi bila kupotezy muda. Kwa njia hii Ford aliweza kutengeneza magari mengi tena kwa bei nafuu na hata watu wenye mapato ya wastani waliweza kununua gari hili. Mfanyakazi wa Ford aliweza kununua gari kwa mshahara wa miezi minne. Kwa jumla magari milioni 15 ya Ford T yalitengenezwa hadi 1927.
Mstari 100:
* [http://www.automuseum-dr-carl-benz.de de: Makumbusho ya mgunduzi wa motokaa ya kwanza duniani Dr. Carl Benz, Ladenburg/Germany (Kijerumani)]
* [http://www.bertha-benz.de/indexen.php?inhalt=home en: Historia ya motokaa ya kwanza ya Mercedez Benz]
* [http://l3d.cs.colorado.edu/systems/agentsheets/New-Vista/automobile Historia ya motokaa toka Chuo Kikuu cha Colorado] {{Wayback|url=http://l3d.cs.colorado.edu/systems/agentsheets/New-Vista/automobile |date=20180622022111 }}
* [https://www.wired.com/2012/02/autonomous-vehicle-history Historia ya magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva]
* [https://www.wikihow.com/Take-Care-of-Your-Own-Car Jinsi ya kutunza gari lako]