Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Link suggestions feature: 3 links added.
 
(marekebisho 19 ya kati na watumizi wengine 11 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[Picha:Ford.mondeo.mk3-black.front-by.ranger.jpg|thumb|'''Ford Mondeo''' ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache, kwa mfano [[familia]] ndogo.]]
[[Picha:WA SES Toyota Landcruiser.jpg|thumb|Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi la kubeba watu kwenye njia mbaya.]]
'''Motokaa''' (kutoka [[Kiingereza]] "motor car"<ref>manenoManeno yalehayo yana asili katika [[lugha]] ya [[Kilatini]]; "car" kutoka Kilat. ''carrus'' = gari na "motor" kutoka Kilat. ''movere'' = sogeza, hamisha yaani "mhamishaji, msukumaji"</ref>, mara nyingi huitwa tu '''gari''' kutoka [[neno]] la [[Kihindi]]) ni chombo cha [[usafiri]] kinachotembeaambacho kwa kawaida kinakwenda kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya [[injini]] au [[mota]] yake. Hata hivyo ziko zinazoweza kusafiri pia majini, na kwa sasa [[kampuni]] kadhaa [[duniani]] zinafanya utafiti wa kutengeneza motokaa ambazo zitakuwa zikiruka [[Anga|angani]].
 
Kuna aina nyingi za motokaa;: magari madogo hubeba [[abiria]] tu na gari dogo la kawaida hubeba [[dereva]] pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8.
 
Mengine ya kubeba abiria ni [[Basi|mabasi]] ambayo ni pia aina ya motokaa lakini mara nyingi hutajwa kama [[kundi]] la pekee, sawa na [[Lori|malori]] ambayo ni motokaa kubwa za kubeba [[mizigo]]. Kuna kila aina ya mchanganyiko kati ya aina hizi.
 
[[Picha:Chassis with suspension and exhaust system.jpg|thumb||Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi.]].
== Muundo ==
Motokaa huwa na [[injini]] (mota) inayosukuma [[magurudumu]] kupitia [[giaboksi]]. Injini pamoja na magurudumu na bodi hushikwa na fremu ya gari. Magari madogo ya kisasa huwa na bodi inayojibeba yenyewe bila fremu ya pekee. Motokaa nyingi huwa na magurudumu manne lakini magari mazito sana kama lori au basi mara nyingi huwa na magurudumu ya ziada.
 
Dereva hutumia mitambo ya kutawala motokaa ambayo ni hasa:
Mstari 19:
Mitambo ya lazima kwa usalama wa gari ni taa zake za nje mbele na nyuma, kiashirio au indiketa ya kuonyesha nia ya kubadilisha mwelekeo, kifuto au waipa inayosafisha kioo cha mbele wakati wa mvua.
 
Magari ya kisasa huwa na mitambo mengi mengine kama redio, vyombo vya muziki, kiyoyozi, siku hizi pia kompyuta ndogo ya kusimamisha injini au kuonyesha [[ramani]] ya njia pamoja na kutoa maelezo kuhusu njia kwa dereva kwa kutumia sauti iliyorekodiwa.
 
Injini kwa kawaida hupata nguvu yake kwa kuchoma [[petroli]], [[diseli]] au gesi. Motokaa za kwanza zilitumia pia nguvu ya mvuke. Motokaa za kisasa kabisa zinatumia pia injini ya umeme.
 
== Historia ya motokaa ==
Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano [[farasi]], [[punda]] au maksai. Waroma wa kale walifanya majaribio na magari yaliyosukumwa na [[Utumwa|watumwa]]. Maendeleo ya uhandisi yalisababisha majaribio ya kutengeneza magari yaliyosogezwa kwa nguvu ya upepo yakitumia [[tanga]] kuanzia mwaka 1600 huko [[Uholanzi]].
 
=== Injini za mvuke ===
Baada ya kugunduliwa kwa [[injini ya mvuke]] nguvu yake ilitumiwa pia kwa [[Chombo cha usafiri|vyombo vya usafiri]]. Kutokana na uzito wa injini pamoja na magari yaliyoweza kuvumilia uzito mkubwa wa injini pamoja na maji na kuni iliyohitajika kuchemsha maji vyombo hivi havikufaa barabara za kawaida vikatumia njia ya [[reli]] za chuma. Nusu ya pili ya karne ya 19 iliona maendeleao ya kutengenezwa kwa motokaa za mvuke madogo yaliyotembea barabara za kawaida katika nchi za Ulaya na Marekani.
 
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi harufu baya ya eksozi. Lakini magari haya yalikuwa na tatizo ya kwamba yalitegemea kupata nishati kwa njia ya beteri nzito zilizochukua muda mrefu kuchajiwa. Hata hivyo hadi mwanzo wa karne ya 20 magari ya umeme yalikuwa mengi katika miji mikubwa.
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita ]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.
 
Mstari 47:
Maendeleo ya motokaa zilizotumia injini mwako ndani yalikuwa haraka. Mwanzoni yalikuwa na matatizo mengi hasa uhaba wa petroli. Benz alinunua mafuta kwa gari lake kwenye duka la dawa.
 
Mwaka 1892 mhandisi Mjerumani Rudolf Diesel alitunga injini inayochoma mafuta kwa kuikandamiza vikali na kutumia joto la hewa ndani ya injini kutokana na mshtuko wa kukandamizwa. Mashine hizi zina uwezo kutumia aina mbalimbali za mafuta na ile ya kawaida ilikuwa nzito kuliko petroli ikaitwa "diseli". Injini za diseli zamani hazikupendwa kwa magari madogo kutokana na sauti kubwa zaidi ya injini lakini zikawa kawaida kwa malori, mabasi na injini za meli kwa sababu zinatumia mafuta kidogo kuliko injini za petroli.
[[Picha:1926 Ford Model T Tudor Sedan FLA915.jpg|thumb||Gari la Ford T ya 1926]]
== Ushindi wa motokaa ==
Mwanzoni motokaa zilikuwa ghali sana zikanunuliwa na matajiri pekee. Mwaka 1914 mhandisi wa [[Marikani]] [[Henry Ford]] alianza kutengeneza gari lake la "Ford Model T" kiwandani akitumia mbinu mpya; aligawa matengenezo ya gari kwa hatua mbalimbali zilizotekelezwa na wafanyakazi walioshughulika hatua moja-moja tu. Mbinu huu ulisababisha utekelezaji wa haraka kwa sababu kila mfanyakazi alikuwa na shughuli chache zu alizojua kwa undani kabisa akiwa na vifaa na vipuri vyote pale alipofanya kazi bila kupotezy muda. Kwa njia hii Ford aliweza kutengeneza magari mengi tena kwa bei nafuu na hata watu wenye mapato ya wastani waliweza kununua gari hili. Mfanyakazi wa Ford aliweza kununua gari kwa mshahara wa miezi minne. Kwa jumla magari milioni 15 ya Ford T yalitengenezwa hadi 1927.
Mstari 69:
 
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
* Daimler-Benz na makampuni mengine yametengeneza magari yenye teknolojia mpya ya seli ya fueli inayotumia [[haidrojeni]][http://thomasnaef.info/convertible-car-seats/ .] Lakini hadi sasa nguvu yake haitoshi kwa magari ya kawaida. Utafiti unaendelea.
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteribetri.
 
== Ya kuangazia unaponunua motokaa ==
{{mbegu-fizikia}}
Haya ndiyo mambo ya kuangazi kabla ya kununua gari lako likiwa jipya au hata la zamani.
{{mbegu-uchumi}}
 
===Usiwe na pupa===
Usiwe mwenye pupa wa kununua gari kabla ya kufanya utafiti ili ulijue gari lile zuri kabisa na ambalo litadumu kwa muda mrefu. Ukifanya utafiti wako kwa mitandao, kwa vitabu au marafiki walio na lile gari, basi utafanya uamuzi mwema wenye busara.
 
===Jaribu kuliendesha gari===
Ni vizuri uliendeshe gari kabla ya kulinunua. Hili huitwa kwa Kiingereza "test drive" na muuzaji atakuruhusu kufanya hivi
 
===Kuwa na makanika wako===
Huenda ukalinunua gari lililozeeka na kwa maana wewe ni mgeni katika kununua magari, ni vizuri uliangalie na makanika ambaye atakupa mashauri.
 
===Nunua gari utakalomudu===
Ni vizuri uangalie gari ambalo wewe mwenyewe utalimudu, isiwe kwamba ni gari linalohitaji mambo mengi yatakayokushinda.
 
===Angalia bima ya gari===
Gharama ya bima ni jambo lingine la kuangazia unaponunua gari.
 
===Nambari ya usajili===
Serikali zahitaji kwamba kila gari liwe na nambari ya usajili. Nambari hii pia yaweza kukusaidia kujua umri wa gari.
 
==Tanbihi==
Line 82 ⟶ 100:
* [http://www.automuseum-dr-carl-benz.de de: Makumbusho ya mgunduzi wa motokaa ya kwanza duniani Dr. Carl Benz, Ladenburg/Germany (Kijerumani)]
* [http://www.bertha-benz.de/indexen.php?inhalt=home en: Historia ya motokaa ya kwanza ya Mercedez Benz]
* [http://l3d.cs.colorado.edu/systems/agentsheets/New-Vista/automobile Historia ya motokaa toka Chuo Kikuu cha Colorado] {{Wayback|url=http://l3d.cs.colorado.edu/systems/agentsheets/New-Vista/automobile |date=20180622022111 }}
* [https://www.wired.com/2012/02/autonomous-vehicle-history Historia ya magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva]
* [https://www.wikihow.com/Take-Care-of-Your-Own-Car Jinsi ya kutunza gari lako]
* [https://www.pickup-world.com/how-to-set-up-car-lifts-routine-maintenance/ Moja ya teknolojia za kurepea magari]
* [https://auto.howstuffworks.com/flying-car.htm Kuhusu magari yanayoruka]
{{tech-stub}}
 
 
 
 
 
 
 
 
 
[[Jamii:Motokaa]]