Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Olimasy (majadiliano | michango)
No edit summary
Kisare (majadiliano | michango)
d Kisare moved page Chombo cha anga-nje to Chombo cha angani over redirect
 
(marekebisho 12 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[Picha:Atlantis-MIR-GPN-2000-001071.jpg|250px|thumbnail|[[Feri]] ya angani Atlantis ikiondoka kwenye [[kituo cha anga]] MIR tarehe [[4 Julai]] [[1995]].]]
'''Chombo cha angani''' ni [[chombo cha usafiri|chombo kwa ajili ya kusafiri]] katika [[Angaanga-nje]] ya [[dunia]] yetu.
 
Vyombo vya anga vinaundwa kwa [[kazi]] nyingi pamoja na [[mawasiliano]], kubeba vifaa vya kutazama dunia au [[hali ya hewa]], kufanyia [[utafiti]] [[sayari]] nyingine au kusafirisha [[watu]] na mizigo.
Mstari 8:
Chombo cha angani cha kwanza kilikuwa [[Sputnik 1]] kilichorushwa na [[Umoja wa Kisovyeti]] mwaka [[1957]] na kuzunguka dunia kwa miezi 3. Kilifuatwa na chombo cha [[Marekani]] "Explorer 1" mwaka [[1958]].
 
Mtu wa kwanza kwenye anga la -nje alikuwa [[Mrusi]] [[Yuri Gagarin]] aliyerushwa na Umoja wa Kisovyeti kwa chombo cha [[Vostok 1]] [[tarehe]] [[12 Aprili]] [[1961]] na kumaliza mzingo mmoja wa dunia.
 
Marekani ilifuata tarehe [[5 Mei]] 1961 kwa kumpeleka [[mwanaanga]] [[Alan Shepard]] nje ya angahewa lakini bila kumaliza mzingo kamili. Mnamo [[Februari]] [[1963]] [[Mmarekani]] [[John Glenn]] alifaulu kutimiza mizingo 3 ya dunia.
Mstari 18:
Vyomboanga vingine kama [[vipimaanga]] vinapewa kazi ya [[upelelezi]] angani hasa kukaribia [[sayari]], kukusanya data zao na kuzituma duniani. Habari nyingi juu ya sayari za [[mfumo wa jua letu]] zimepatikana kutokana na [[upimaji]] uliotekelezwa na vipimaanga hivi.
 
[[Category:UsafiriVyombo wavya angani| *]]
[[jamii:Chombo cha angani]]‎
{{wikinyota}}