Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: fr:Parc national du Kilimandjaro; cosmetic changes |
Add rout Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu |
||
(marekebisho 41 ya kati na watumizi wengine 24 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
{{Infobox protected area
[[Picha:Mawenzi at Mt. Kilimanjaro 6.JPG|right|thumb|290px|Kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro]]▼
| name = Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
| iucn_category = II
| photo = Mawenzi at Mt. Kilimanjaro 6.JPG
| photo_caption = Kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro
| map = Parks Tanzania.svg
| map_caption = Mahali pa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
| locator_x = 203
| locator_y = 68
| location = [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]]
| nearest_city = [[Moshi (mji)|Moshi]]
| lat_d = 3
| lat_m = 04
| lat_s =
| lat_NS = S
| long_d = 37
| long_m = 22
| long_s =
| long_EW = E
| area = 753 km² (291 mi²)
| established = 1973
| visitation_num =
| visitation_year =
| governing_body =
}}
▲[[Picha:
[[File:Giraffes Arusha Tanzania.jpg|thumb|right|[[Twiga]]: [[spishi]] moja ya [[wanyama wa taifa]]]]
'''Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro''' ni [[hifadhi ya taifa]] inayopatikananchini [[Tanzania]], lakini ni maarufu [[duniani]] kutokana na [[mandhari]] mazuri ya [[Mlima Kilimanjaro]] ambao ni [[mlima]] mrefu kuliko yote [[Bara|barani]] [[Afrika]] na unapatikana katika nchi ya [[Tanzania]].
Hifadhi hiyo inajumuisha Mlima Kilimanjaro inayozungukwa na ukanda wa [[msitu]] wa mlimani ulio [[mita]] 1,820 ([[futi]] 5,970).
Mlima huu ni moja kati ya milima ambayo kilele chake hufikiwa kwa urahisi na hivyo kuwa kivutio kikubwa kwa wapanda milima kutoka kila pande za dunia.▼
[[Kilele cha Kibo]], chenye [[urefu]] wa [[mita]] 5895 ([[futi]] 19340), ndicho kivutio kikubwa kwa wageni kutoka ndani na nje ya nchi kwa sababu ya kufunikwa na [[theluji]] [[mwaka]] mzima. Lakini pia kuna vilele vingine kama Shira, upande wa magharibi, kikiwa na urefu wa mita 3962, Mawenzi upande wa mashariki, chenye urefu wa mita 5149.
▲Mlima
Zaidi ya watalii 20,000 hupanda mlima huu kila mwaka wakiwemo wageni kutoka nje ya nchi na Watanzania. Mpandaji wa mlima huu huhitaji angalau siku tano, siku tatu kupanda na siku mbili kuteremka.▼
Mnamo [[mwaka]] [[2003]], [[wanasayansi]] waligundua kuwa kiwango fulani cha [[magma]] kilikuwa mita 400 tu chini ya [[kasoko]], kwa hiyo ilihofiwa kuwa volkano inaweza kuyeyuka (au kulipuka) kama vile [[Mlima Helena]] (USA), mnamo mwaka [[1980]]. Ingawa hakuna habari sahihi inayojulikana kuhusu wakati [[mlipuko]] wa mwisho ulitokea, [[hadithi]] nyingi za huko zinaonyesha kwamba kulikuwa na moja kama miaka 170 iliyopita. Mkutano wa kilele wa volkano umefunikwa na [[Barafuto|barafu ya kudumu]] (the Glmann Glacier).
* Njia iliyo rahisi na maarufu zaidi ni ile ya kuanzia lango la [[Marangu]], ambako ndiyo makao makuu ya hifadhi.▼
▲Zaidi ya [[watalii]] 20,000 hupanda mlima huu kila mwaka wakiwemo wageni kutoka nje ya nchi na Watanzania. Mpandaji wa mlima huu huhitaji angalau siku [[tano]], siku [[tatu]] kupanda na siku [[mbili]] kuteremka.
Wanyama kadhaa hupatikana katika msitu unaozunguka Mlima Kilimanjaro wakiwemo mbega, nyani, nyati, chui, tembo, swala na ndege.▼
▲
====Wakati mzuri wa kutembelea hifadhi====▼
Kuanzai mwezi Disemba hadi februari, na pia mwezi Julai na Septemba(ingawa wakati huu ni baridi zaidi)▼
▲[[Wanyama]] kadhaa hupatikana katika [[msitu]] unaozunguka Mlima Kilimanjaro wakiwemo [[mbega]], [[nyani]], [[Nyati wa Afrika|nyati]], [[chui]], [[tembo]], [[swala]] na [[Ndege (mnyama)|ndege]] mbalimbali.
Hifadhi inasimamiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Tanzania (TANAPA).
==Hali ya hewa==
Kilimanjaro ina misimu miwili tofauti ya mvua, moja kutoka Machi hadi Mei na nyingine karibu Novemba. Mteremko wa kaskazini hupokea mvua kidogo kuliko ile ya kusini. Mteremko wa kusini hupata milimita 800 hadi 900 kila mwaka, ikiongezeka hadi milimita 1,500 hadi 2,000 (59 hadi 79 ndani) katika mita 1,500 (4,900 ft) na kuinuka "kwa zaidi ya milimita 3,000" (120 in) katika ukanda wa msitu mita 2,000 hadi Mita 2,300 (6,600 hadi 7,500 ft). Katika ukanda wa alpine, mvua ya kila mwaka hupungua hadi milimita 200.
Joto la wastani katika eneo la mkutano ni takriban -7 ° C (19 ° F). Joto la mchana kwenye uwanda wa barafu (NIF) huanguka wastani hadi -9 ° C (16 ° F) na wastani wa mchana wa -4 ° C (25 ° F). Wakati wa usiku wa baridi kali ya mionzi, NIF inaweza kupoa hadi chini hadi -15 hadi -27 ° C (5 hadi -17 ° F).
▲
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima ya Tanzania]]
* [[Orodha ya milima ya mkoa wa Kilimanjaro]]
* [[Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika]]
==Tanbihi==
{{reflist}}
==Marejeo==
''Majarida ya hifadhi za Taifa Tanzania''
== Viungo vya nje ==
* [http://www.tanzaniaparks.com TANAPA]
* [http://www.tanzaniatouristboard.com Utalii wa Tanzania] {{Wayback|url=http://www.tanzaniatouristboard.com/ |date=20100113233655 }}
* [http://www.
{{mbegu-jio-kilimanjaro}}
▲[[Jamii:Hifadhi la Taifa Tanzania]]
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]
[[
|