Mahdi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: az:İmam Mehdi
Nimesahihisha neno wnegi kuwa wengi.
 
(marekebisho 7 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
'''Mahdi''' (pia '''mehdi'''; kwa [[Kiarabu]] ‏مهدي‎ - ''anayeongozwa'') ni [[cheo]] cha [[mwokozi]] wa [[dunia]] katika [[imani]] ya [[Uislamu]].
 
Kufuatana na imani hiihiyo mwokozi huyu atatumwa na [[Allah]] kabla ya siku za mwisho wa dunia yaani kabla ya [[Kiyama|siku ya hukumu]] (yawm al-qiyamah) na atasafisha dunia na kila aina ya [[dhambi]], ukandamizaji na [[utawala]] mbaya.
 
Katika [[Qurani]] hakuna maelezo ya wazi juu ya kuja kwa Mahdi lakini anatajwa katika [[ahadith]] mbalimbali; isipokuwa [[Sahih al-Bukhari]] haina habari zake. Katika imani ya Waislamu wengi (hasa [[Washia]] lakini pia katika mielekeo kadhaa ya [[Wasunni]]) mahdi ina nafasi muhimu.
 
Mahdi anategemewa kuwa atawaongoza [[binadamu]] kumwamini [[Mungu]] na kumshinda [[Dajal]] anayetazamiwa kuwa mwovu kati ya wanadamu. Mahdi ataongozwa moja kwa moja na Allah. Waislamu wnegiwengi wanaona ya kwamba ataongoza jitihada kwa kutumia nguvu ya silaha lakini kundi la [[Ahmadiyya]] wanasisitiza kuwa [[jihad]] yake itakuwa ya kiroho tu.
 
Katika imani ya Washia mahdi anajulikana tayari jina lake: ni [[Muhammad ibn Hasan al-Mahdi]] aliyezaliwa [[tarehe]] [[29 Julai]] mwaka [[869]] akawa [[imamu]] wa 12 wa Washia, lakini tangu mwaka [[874]] alifichwa na Allah mbele ya maadui zake na tangu wakati ule anaishi mafichoni (ghaiyba).
 
Kati ya Wasunni kuna mafundisho tofautitofauti kuhusu mahdi. Wanaokubali ahadith juu yake huamini atazaliwa katika [[ukoo]] wa [[mtume]] [[Muhammad]] na atatawala dunia pamoja na [[Yesu]] atakayerudi duniani kwa muda wa miaka 40.
 
Lakini Wasunni wengine hawakubali ahadith juu ya mahdiMahdi.
 
Hata hivyo, imani katika ujio wa Mahdi ilikuwa na umuhimu mara kadhaa hata kati ya Wasunni. Mashuhuri alikuwa [[Muhammad Ahmad Al-Mahdi|Muhammad Ahmad]] aliyejitangaza kuwa Mahdi mnamo mwaka [[1881]] akafaulu kuunda [[Dola la Mahdi]] katika [[Sudan]].
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.mahdavia.com/Ihsan/Mahdavia.htm Who are Mahdavis?] {{Wayback|url=http://www.mahdavia.com/Ihsan/Mahdavia.htm |date=20081201174253 }}
* [http://www.promisedmehdi.com The Promised Mehdi]
* [http://mahdavia.info/promised_one/index.html Syed Mohammad AlMahdi AlMow'ood] {{Wayback|url=http://mahdavia.info/promised_one/index.html |date=20080927122944 }}
 
[[Category:Uislamu]]
{{Link FA|he}}
 
[[ar:محمد المهدي]]
[[az:İmam Mehdi]]
[[ca:Mahdí]]
[[cs:Mahdí]]
[[da:Mahdi]]
[[de:Mahdi]]
[[en:Mahdi]]
[[es:Mahdi]]
[[eu:Mahdi]]
[[fa:مهدی]]
[[fi:Mahdi]]
[[fr:Mahdi]]
[[he:מהדי]]
[[id:Imam Mahdi]]
[[it:Mahdi]]
[[kk:Мәһди]]
[[ko:마흐디]]
[[lt:Mahdis]]
[[ms:Imam Mahdi]]
[[nl:Mahdi]]
[[no:Mahdi]]
[[pl:Mahdi]]
[[pt:Mahdi]]
[[ro:Mahdi]]
[[ru:Махди]]
[[simple:Mahdi]]
[[sv:Mahdi]]
[[tr:Mehdî]]
[[uk:Махді]]
[[zh:马赫迪]]