Mahdi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Mahdi
Nimesahihisha neno wnegi kuwa wengi.
 
(marekebisho 14 ya kati na watumizi wengine 12 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
'''Mahdi''' (pia '''mehdi'''; kwa [[Kiarabu]] ‏مهدي‎ - ''anayeongozwa'') ni [[cheo]] cha [[mwokozi]] wa [[dunia]] katika [[imani]] ya [[Uislamu]].
 
Kufuatana na imani hiihiyo mwokozi huyu atatumwa na [[Allah]] kabla ya siku za mwisho wa dunia yaani kabla ya [[Kiyama|siku ya hukumu]] (yawm al-qiyamah) na atasafisha dunia na kila aina ya [[dhambi]], ukandamizaji na [[utawala]] mbaya.
 
Katika [[Qurani]] hakuna maelezo ya wazi juu ya kuja kwa Mahdi lakini anatajwa katika [[ahadith]] mbalimbali; isipokuwa [[Sahih al-Bukhari]] haina habari zake. Katika imani ya Waislamu wengi (hasa [[Washia]] lakini pia katika mielekeo kadhaa ya [[Wasunni]]) mahdi ina nafasi muhimu.
 
Mahdi anategemewa kuwa atawaongoza watu[[binadamu]] kumwamini [[Mungu]] na kumshinda [[Dajal]] anayetazamiwa kuwa mwovu kati ya wanadamu. Mahdi ataongozwa moja kwa moja na Allah. WailsmauWaislamu wnegiwengi wanaona ya kwamba ataongoza jitihada kakwa kutumia nguvu ya silaha lakini kundi la [[Ahmadiyya]] wanasisitiza kuwa jihadi[[jihad]] yake itakuwa ya kiroho pekeetu.
 
Katika imani ya Washia mahdi anajulikana tayari jina lake: ni [[Muhammad ibn Hasan al-Mahdi]] alizaliwaaliyezaliwa tar.[[tarehe]] [[29 Julai]] mwaka [[869]] akawa imam[[imamu]] wa 12 wa Washia, lakini tangu mwaka [[874]] alifichwa na Allah mbele ya maadui zake na tangu wakati ule anaishi mafichoni (ghaiyba).
 
Kati ya Wasunni kuna mafundshomafundisho tofauti tofautitofautitofauti kuhusu mahdi. Wanaokubali ahadith kuhusujuu yake huamini atazaliwa katika [[ukoo]] wa [[mtume]] [[Muhammad]] na atatawala dunia pamoja na [[Yesu]] atakayerudi dunaniduniani kwa muda wa miaka 40.
 
Lakini Wasunni wengine hawakubali ahadith juu ya mahdiMahdi.
 
Hata hivyo, imani katika ujio wa Mahdi ilikuwa na umuhimu mara kadhaa hata kati ya Wasunni. Mashuhuri alikuwa [[Muhammad Ahmad Al-Mahdi|Muhammad Ahmad]] aliyejitangaza kuwa Mahdi mnamo mwaka [[1881]] akafaulu kuunda [[Dola la Mahdi]] katika [[Sudan]].
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.mahdavia.com/Ihsan/Mahdavia.htm Who are Mahdavis?] {{Wayback|url=http://www.mahdavia.com/Ihsan/Mahdavia.htm |date=20081201174253 }}
* [http://www.promisedmehdi.com The Promised Mehdi]
* [http://mahdavia.info/promised_one/index.html Syed Mohammad AlMahdi AlMow'ood] {{Wayback|url=http://mahdavia.info/promised_one/index.html |date=20080927122944 }}
 
 
[[Category:Uislam]]
 
[[Category:UislamUislamu]]
[[ar:محمد المهدي]]
[[az:Mehdi]]
[[ca:Mahdí]]
[[cs:Mahdí]]
[[da:Mahdi]]
[[de:Mahdi]]
[[en:Mahdi]]
[[es:Mahdi]]
[[fa:مهدی]]
[[fi:Mahdi]]
[[fr:Mahdi]]
[[he:מהדי]]
[[id:Imam Mahdi]]
[[it:Mahdi]]
[[lt:Mahdis]]
[[ms:Imam Mahdi]]
[[nl:Mahdi]]
[[no:Mahdi]]
[[pl:Mahdi]]
[[pt:Mahdi]]
[[ro:Mahdi]]
[[ru:Махди]]
[[simple:Mahdi]]
[[sv:Mahdi]]
[[tr:Mehdi]]
[[uk:Махді]]
[[zh:马赫迪]]