Zanzibar (Jiji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
infobox
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.6
 
(marekebisho 45 ya kati na watumizi wengine 29 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 2:
|jina_rasmi = Jiji la Zanzibar
|picha_ya_satelite =
|pushpin_map = Tanzania
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Zanzibar katika Tanzania
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
Line 7 ⟶ 9:
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi|Unguja Mjini Magharibi]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Unguja Mjini|Unguja Mjini]]
|wakazi_kwa_ujumla =
|latd=6 |latm=9 |lats=36 |latNS=S
|longd=39 |longm=12 |longs=0 |longEW=E
|website =
 
}}
[[ImagePicha:Sansibar House of Wonders.jpg|thumb|''Beit-al-Ajaib'', yaani ''Jumba la Maajabu'' ([[1907]]).]]
'''Jiji la Zanzibar''' ni [[mji]] mkubwa wa [[kisiwa]] cha [[Unguja]] na [[mji mkuu]] wa [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]], pia ni wilaya katika [[Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi]] wa [[Tanzania]].
 
Pia ni [[wilaya]] katika [[Jamii:Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi]] wa [[Tanzania]].
Jiji lina wakazi 206,292 (sensa ya 2002)[http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm].
 
Jiji lina wakazi 206,292 ([[sensa]] ya mwaka [[2002]]).<ref>{{Cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2004-03-18 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20040318024833/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm |archivedate=2004-03-18 }}</ref>
Kitovu cha kihistoria ni '''Mji Mkongwe''' (Stone Town) ulioandikishwa katika orodha ya [[UNESCO]] ya "[[Urithi wa Dunia]]" (World Heritage). Nyumba za Mji Mkongwe zilijengwa tangu [[1830]] wakati Sultani [[Sayyid Said]] alipohamisha mji mkuu wake kutoka [[Omani]] kuja Unguja. Kati ya majengo maarufu ni Beit al Ajaib (nyumba ya maajabu), boma la kale, Kanisa Kuu la Kianglikana kwenye mahali pa soko la watumwa na hasa nyumba nyingi za kihistoria za ghorofa zilizojengwa na famila za tabaka ya matajiri Waarabu zenye milango yenye mapambo mazuri.
 
==Jina==
Mji Mkongwe unapokea watalii wengi kila mwaka.
 
*Makala kuu: [[Etimolojia ya Neno Zanzibar]]
Mji wa kisasa umekua sana ngambo ya Mji Mkongwe.
 
==Mji Mkongwe==
[[Kitovu]] cha [[historia]] yake ni [[Mji Mkongwe]] (''Stone Town'') ulioandikishwa katika orodha ya [[UNESCO]] ya "[[Urithi wa Dunia]]" (World Heritage).
 
[[Nyumba]] za Mji Mkongwe zilijengwa tangu mwaka [[1830]] wakati [[Sultani]] [[Sayyid Said]] alipohamisha mji mkuu wake kutoka [[Omani]] kuja [[Unguja]].
 
Kati ya [[Jengo|majengo]] maarufu ni [[Beit al Ajaib]] (yaani [[Jumba la Maajabu]] lililobomoka tarehe [[24 Desemba]] [[2020]]<ref>https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-kihistoria-beit-al-ajaib-laanguka-zanzibar-3239382</ref>), [[boma]] la kale, [[Kanisa la Kristo Zanzibar|Kanisa Kuu la Kianglikana]] lililojengwa mahali pa [[soko la watumwa]] na hasa nyumba nyingi za kihistoria za [[ghorofa]] zilizojengwa na [[famila]] za tabaka la [[tajiri|matajiri]] [[Waarabu]] zenye [[mlango|milango]] yenye mapambo mazuri.
 
Mji Mkongwe unapokea [[watalii]] wengi kila mwaka.
 
Mji wa kisasa umekua sana ngambong'ambo ya Mji Mkongwe.
 
==Tazama Pia==
*[[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]]
 
==Picha==
<br clear="right"/>
<gallery>
Line 32 ⟶ 50:
</gallery>
 
==Viungo vya njeMarejeo==
{{marejeo}}
*[http://home.globalfrontiers.com/Zanzibar/swahili_home_page.htm Historia na utamaduni wa Zanzibar]
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons cat|Zanzibar City|Jiji la Zanzibar}}
{{wikivoyage|Stone Town}}
* [http://home.globalfrontiers.com/Zanzibar/swahili_home_page.htm Historia na utamaduni wa Zanzibar] {{Wayback|url=http://home.globalfrontiers.com/Zanzibar/swahili_home_page.htm |date=20060207112626 }}
* [http://whc.unesco.org/en/list/173 UNESCO Stone Town Site]
* [http://stcda-zanzibar.org Stone Town Conservation and Development Authority] {{Wayback|url=http://stcda-zanzibar.org/ |date=20161022152424 }}
* [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm Zanzibar Urban District Homepage for the 2002 Tanzania National Census] {{Wayback|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm |date=20040318024833 }}
* [http://www.worldhum.com/features/travel-stories/stranger-in-paradise-20090609/ Stranger in Paradise: Searching for a Place to Call Home in Stone Town] {{Wayback|url=http://www.worldhum.com/features/travel-stories/stranger-in-paradise-20090609/ |date=20110718114857 }} by Christopher Vourlias, ''World Hum'', June 15, 2009
* [http://zanzibar-islands.com/guide/Stone-Town/001G3M6KPGKJZTCC/ Zanzibar Stone Town & Hotels] {{Wayback|url=http://zanzibar-islands.com/guide/Stone-Town/001G3M6KPGKJZTCC/ |date=20110611023741 }} A travel guide website containing pictures and information about Stone Town as well as a selection of Stone Town Hotels.
* [http://www.africahousehotel.com/stone_town.html Stone Town sites and attractions] {{Wayback|url=http://www.africahousehotel.com/stone_town.html |date=20120316015542 }}
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Mjini Unguja}}
{{mbegu-jio-TZunguja}}
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Mjini Unguja}}
{{sisterlinks|Zanzibar}}
[[Category:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi]]
[[Category:Zanzibar]]
[[Category:Waswahili]]
[[Category:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika]]
 
[[CategoryJamii:Miji ya Tanzania]]
[[ar:مدينة زنجبار]]
[[Jamii:Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi]]
[[be-x-old:Занзыбар (горад)]]
[[CategoryJamii:Zanzibar]]
[[bg:Занзибар (град)]]
[[deJamii:Sansibar-StadtWaswahili]]
[[Jamii:Wilaya ya Mjini Unguja| ]]
[[en:Zanzibar City]]
[[eo:Zanzibaro (urbo)]]
[[fr:Zanzibar City]]
[[hr:Zanzibar (grad)]]
[[ko:잔지바르 시]]
[[nl:Zanzibar (stad)]]
[[no:Zanzibar by]]
[[pl:Zanzibar (miasto)]]
[[ru:Занзибар (город)]]
[[uk:Занзібар (місто)]]