Chombo cha usafiri kwenye maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
'''Chombo cha majini''' au '''chombo cha usafiri kwenye maji''' ni [[kitu]] kinachotumiwa kusafiria kwenye [[maji]] kama vile [[Bahari|baharini]], [[Mto|mtoni]] au [[Ziwa|ziwani]]. Vyombo hivihivyo vinapatikana vidogo na vikubwa vikiitwa [[mtumbwi]], [[boti]], [[mashua]], [[mtepe]], [[jahazi]] au [[meli]]; vikitumiwa kuvusha [[abiria]] au [[mzigo|mizigo]] kwa [[umbali]] mdogo huitwa [[feri]].
 
Vyombo vya maji vinatofautishwa pia kutokana na jinsi zinavyoenbdeshwazinavyoendeshwa majini, kwa mfano
* Chombo kinachoendeshwa na mwendo wa maji, hasa mtoni, kama vile [[chelezo]]
* chombo kinachoendeshwa kwa nguvu ya [[musulimisuli]] zaya [[watu]], kwa mfano kwa kuvuta [[kasia]]
* chombo kinachoendeshwa kwa nguvu ya [[upepo]]
* chombo kinachoendeshwa kwa nguvu ya [[injini]], kama vile [[injini ya mvuke]], [[injini ya mwako ndani]] ya [[petroli]] au [[diseli]] au kwa [[injini ya umeme]].
 
==Historia==
[[Historia|Kihistoria]] vyombo vya majini vilitengenezwa hasa kwa kutumia [[ubao]] au pia [[mata]] kavu nyingine kama [[matete]]. Tangu [[karne ya 19]] [[metali]], na hasa [[chuma]] kilitumiwa kilichoruhusu kujenga meli kubwa.
 
Katika [[karne ya 20]] mara nyingi aina za [[plastiki]] mara nyingi zilichukua nafasi ya ubao kwa vyombo vya majini vidogo zaidi.
 
==Picha==
<gallery caption="Sample gallery" widths="280px" >
File:Traditional Boat.jpg|[[Mtumbwi]]
File:Isarfloss.jpg|[[Chelezo]] kwenye [[mto Isar]], [[Ujerumani]]
File:Fishermen, Tanzania (14268960647).jpg|[[Boti|Maboti]] ya wavuvi, Mar es Salaam
File:Caravel Boa Esperanca Portugal.jpg|[[Jahazi]] yala Kireno
File:Container Ship.jpg|Meli ya kontena katika bandari ya [[Zanzibar (Jiji)|Zanzibar]]
</gallery>
{{tech-stub}}
 
[[Jamii:Vyombo vya majini|*]]