Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
(marekebisho 43 ya kati na watumizi wengine 19 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[Image:Giulio-cesare-enhanced 1-800x1450.jpg|thumb|leftright|120px|[[Julius Caesar]] alikuwa asili ya cheo cha KaisariKaizari.]]
[[Image:Statue-Augustus.jpg|thumb|120px|[[KaisariKaizari Augusto]] wa [[Dola la Roma]].]]
[[Image:Ingres, Napoleon on his Imperial throne.jpg|thumb|120px|<small>Mtawala wa [[Ufaransa]] [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la KaisariKaizari 1804.</small>]]
[[Image:Bokassa.jpg|thumb|120px|KaisariKaizari Bokassa mwaka 1977.]]
 
'''KaisariKaizari''' ni [[cheo]] cha [[mfalme mkuu]]. [[Neno]] la [[Kiswahili]] limetokana na [[lugha]] ya [[Kijerumani]] "Kaiser", lakini asili yake ni [[Kilatini]] "Caesar".
 
'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya [[Kijerumani]].
 
==Asili ya Kiroma==
Asili yakeya cheo ni [[Julius Caesar]] aliyekuwa kiongozi wa [[Dola la Roma]] hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka [[44 KK]]. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.
 
[[Orodha ya Makaizari wa Roma|Watawala waliomfuata]] walianza kutumia jina la Caesar kwa [[heshima]] yake hadi jina likawa cheo.
Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]].
 
Cheo cha KaisariKaizari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi mwaka [[1453]].
 
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe [[mfalme]] wa [[WafrankiWafaranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au KaisariKaizari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya [[mashariki]] ya [[ufalme]] wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au KaisariKaizari.
 
Neno la KaisariKaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]., kwa kuwa [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "KaisariKaizari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
 
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa [[Kirusi]], ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[KiingerezeaKiingereza]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesarmacaesar wa Kiroma, ndicho "Imperator" (= mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[kwa Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[kwa Kifaransa]]).
 
==Nje ya Ulaya==
KaisariKaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefuuzoefu huu hata [[Shah]] wa [[Uajemi]], mtwala[[Tenno]] wa [[Japani]], [[Huangdi]] wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwahutajwa kwa cheo cha "KaisariKaizari".
 
Malkia [[Malkia]] [[Viktoria ( wa Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha KaisariKaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu mwaka [[1877]].
 
RaisWakati Jean-Bedelwa [[Bokassaukoloni]] alijitangazamtawala kuwa Kaisarimkuu wa [[Afrika ya Kati]]Mashariki mwakaya [[1977Kijerumani]] akiiga mfano waalikuwa [[NapoleonKaizari BonaparteWilhelm II]] aliyejiwekeawa tajiUjerumani; la Kaisari yakwenye [[Ufaransasarafu]] mwakaya [[1804rupia]]. Bokassaalionyeshwa alipinduliwapamoja 1979cheo nakwa nchilugha kuwaya [[jamhuriKilatini]] tena"imperator".
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea [[taji]] la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa mwaka [[1979]] na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.
[[Category:Siasa]]
[[Category:Kaisari| ]]
[[Category:Ufalme]]
 
[[bsCategory:ImperatorCheo| ]]
[[brCategory:ImpalaerUfalme]]
[[ca:Emperador]]
[[cs:Císař]]
[[da:Kejser]]
[[de:Kaiser]]
[[et:Keiser]]
[[es:Emperador]]
[[eo:Imperiestro]]
[[fr:Empereur]]
[[ko:황제]]
[[id:Kaisar]]
[[ka:იმპერატორი]]
[[la:Imperator]]
[[nl:Keizer]]
[[ja:皇帝]]
[[no:Keiser]]
[[pl:Cesarz]]
[[pt:Imperador]]
[[ru:Император]]
[[simple:Emperor]]
[[sl:Imperator]]
[[sr:Цар]]
[[fi:Keisari]]
[[sv:Kejsare]]
[[vi:Hoàng đế]]
[[zh:皇帝]]